Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki.


Wapo wanaodai Rayvann ndiye msanii mkali kuliko wote pale WCB, wapo wanaodai Richi Mavoko ni shiiiida yaani anajua mpaka anakera, vilevile wapo wanaovutiwa na uwezo wa uimbaji wa Lavalava pia wapo wanaodai Konde Boy Harmonize uwezo wake sio wa nchi hii .

Bila kusahau wapo wanaodai uwezo wa Diamond Platinums Chibu D Chibu De a.k.a Simbaaaa ni hakunaga kama yeye Tangu dunia iumbwe.


Diamond Platnumz

Rayvann

Konde boy Harmonize

Mavoko

Lavalava.


Haya sasa tiririkeni.
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati JF-Expert Member

https://www.jamiiforums.com/threads/leo-tumalize-ubishi-ni-msanii-gani-mkali-kuliko-wote-pale-wcb.1315338/