Kwanza kabisa mods iacheni hii thread ijitegemee. Msiiunganishe kwingine.

Wadau nawasalimu sana.

Nashukuru kusikia kuwa Watanzania na napenda haki duniani tunaendelea kumuombea Lissu. Baraka za Mungu ziwafikie wote wanaozidi kupaza maombi yao kwa ajili ya ndugu yetu Tundu Antiphas Mughwai Lissu.

Naomba kutoa tahadhari juu ya hili la Dereva wa Lissu kuitwa ili akaripoti Polisi kuhusiana na Shambulio kwa Lissu. Nahisi kuna Mbuzi wa kafara anatafutwa kwa nguvu zote. Msije kushangaa kusikia kuwa huyu Dereva anaambiwa kuwa uchunguzi umeonyesha kuwa alihusika kupanga njama za kushambuliwa boss wake na hivyo akashtakiwa kwa kushiriki kupanga mauaji. TAKE CAUTION and WATCH IT.

Kwa mara nyingine naomba tuendelee kumuombea Lissu.
e

ecolizer baba Member

https://www.jamiiforums.com/threads/maoni-yangu-juu-ya-kuitwa-kwa-dereva-wa-mhe-lissu-polisi.1316203/